Jimbo safi Oregoni, natamani nisitoke
Watu wema Yujini, wanaume hata wake
Mijini ni vijijini, tulivu majira yake,
Twapenda mazingirake, yawe hivi maishani
Karibuni!
Jimbo safi Oregoni, natamani nisitoke
Watu wema Yujini, wanaume hata wake
Mijini ni vijijini, tulivu majira yake,
Twapenda mazingirake, yawe hivi maishani